Arusha is the centure of tourism in Tanzania,staying in Arusha you can luck to visit the following Attraction :
The Arusha national park,mount meru ,Tarangire national park,Manyara national park,Serengeti national park,Ngorongoro Conservation Authority Area and mount Kilimanjaro .
Wednesday, August 22, 2012
Thursday, August 16, 2012
BUKOBA PORT
Mufumbiro tour and safaris visited Bukoba port to discover a new policy introduced by port management after the sank of mv.skaget in Zanzibar
THE NUMBERS OF PEOPLE VIEWED MY BLOG IN THE WORLD
This are the numbers of people through my blog :
4 from Spain
The aim of the blog is to encourage tourism in our country ,i thanks all people who decided to explore my blog go on checking now a new things are coming thank you and welcome Tanzania .
4 from Spain
5 India
7 Malasya
11 Indonesia
11 Brazil
28 France
32 Germany
37 Russia
44 United states of America
336 Tanzania.
Sunday, July 15, 2012
Wednesday, July 11, 2012
Friday, June 8, 2012
TOURISM TANZANIA
TOURISM IN TANZANIA
We need to share tourism issues since we are one community ,especially all members of East Africa community.
We need to share tourism issues since we are one community ,especially all members of East Africa community.
TANZANIA A
ATTRACTIONS
File:Parks Tanzania.svg
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation,
search
Size of this preview: 580 × 600 pixels. Other resolutions: 232 × 240 pixels | 464 × 480 pixels | 743 × 768 pixels | 990 × 1,024 pixels.
This is a file from the Wikimedia Commons. Information from its description page there is shown below.
Commons is a freely licensed media file repository. You can help. |
Description | Map of National Parks and major protected areas in Tanzania. |
Date | 29 May 2007 |
Source | Own work |
Author | Bamse |
Other versions |
Permission is granted to copy, distribute and/or modify this map under the terms of the GNU Free Documentation License,
Version 1.2 or any later version published by the Free Software
Foundation; with no Invariant Sections, no Front-Cover Texts, and no
Back-Cover Texts. A copy of the license is included in the section
entitled "GNU Free Documentation License". The map has been created with the Generic Mapping Tools: http://gmt.soest.hawaii.edu/ using one or more of these public domain datasets for the relief: |
This file is licensed under the Creative Commons Attribution-Share Alike 3.0 Unported license. | ||
|
||
This licensing tag was added to this file as part of the GFDL licensing update. |
This SVG file uses embedded text that can be easily translated into your language using this automated tool. Learn more.
You can also download it and translate it manually using a text editor. العربية | Беларуская (тарашкевіца) | Bosanski | Català | Česky | Dansk | Deutsch | English | Esperanto | Español | Eesti | فارسی | Suomi | Français | Galego | עברית | Hrvatski | Magyar | Հայերեն | Italiano | 日本語 | ქართული | ភាសាខ្មែរ | 한국어 | Lietuvių | Македонски | മലയാളം | Bahasa Melayu | Plattdüütsch | Nederlands | Norsk (nynorsk) | Norsk (bokmål) | Polski | Português | Русский | Slovenščina | Shqip | Српски / Srpski | Svenska | Türkçe | Українська | Tiếng Việt | Volapük | 中文 | 中文(简体) | +/- |
File history
Click on a date/time to view the file as it appeared at that time.
Date/Time | Thumbnail | Dimensions | User | Comment | |
---|---|---|---|---|---|
current | 07:00, 15 February 2008 | 4,840 × 5,005 (1.04 MB) | Bamse | ||
06:58, 15 February 2008 | 5,988 × 8,462 (1.04 MB) | Bamse | |||
06:57, 15 February 2008 | 5,988 × 8,462 (1.04 MB) | Bamse | |||
00:52, 6 June 2007 | 4,842 × 5,009 (1.11 MB) | Bamse | {{Information |Description=Map of National Parks and major protected areas in Tanzania. |Source=self-made |Date=29-05-2007 |Author= Bamse }} {{GFDL-GMT}} {{Translation_possible}} Category:Maps of Tanzania [[Category:National parks of Ta | ||
23:54, 29 May 2007 | 4,842 × 5,009 (1.11 MB) | Bamse | {{Information |Description=Map of National Parks and major protected areas in Tanzania. |Source=self-made |Date=29-05-2007 |Author= Bamse }} {{GFDL-GMT}} Category:Maps of Tanzania Category:National parks of Tanzania | ||
09:57, 29 May 2007 | 4,842 × 5,009 (1.03 MB) | Bamse | {{Information |Description=Map of National Parks and major protected areas in Tanzania. |Source=self-made |Date=29-05-2007 |Author= Bamse }} {{GFDL-GMT}} Category:Maps of Tanzania Category:National parks of Tanzania | ||
06:07, 29 May 2007 | 4,842 × 5,009 (1.03 MB) | Bamse | {{Information |Description=National Parks and major protected areas in Tanzania. |Source=own work |Date=29-05-2007 |Author=me, ~~~ |Permission= |other_versions= }} {{GFDL-GMT}} Category:Maps of Tanzania Category:National parks of Tanzania | ||
06:01, 29 May 2007 | 5,988 × 8,462 (1.03 MB) | Bamse | {{Information |Description=Map of National Parks and major protected areas in Tanzania. |Source=self-made |Date=29-05-2007 |Author= User:Bamse }} {{GFDL-GMT}} |
File usage
The following pages on the English Wikipedia link to this file (pages on other projects are not listed):
Global file usage
The following other wikis use this file:
- Usage on cs.wikipedia.org
- Usage on da.wikipedia.org
- Usage on de.wikipedia.org
- Usage on eo.wikipedia.org
- Usage on es.wikipedia.org
- Usage on fa.wikipedia.org
- Usage on fi.wikipedia.org
- Usage on fr.wikipedia.org
- Parc national du Serengeti
- Parc national du Kilimandjaro
- Parc national de Tarangire
- Parc national du lac Manyara
- Aire protégée de Tanzanie
- Parc national de Katavi
- Parc national de Saadani
- Parc national du plateau de Kitulo
- Parc national d'Arusha
- Modèle:Palette Zones protégées de Tanzanie
- Parc national de Mikumi
- Parc national de Gombe Stream
- Parc national de Rubondo Island
- Parc national des monts Udzungwa
- Parc national de Ruaha
- Parc national des monts Mahale
- Usage on hr.wikipedia.org
- Usage on it.wikipedia.org
- Ngorongoro
- Parco nazionale del Tarangire
- Riserva del Selous
- Parco nazionale del lago Manyara
- Parco nazionale del Kilimangiaro
- Parco nazionale di Ruaha
- Aree naturali protette in Tanzania
- Parco nazionale del Gombe Stream
- Parco nazionale del Serengeti
- Parco nazionale di Arusha
- Parco nazionale dei monti Udzungwa
- Parco nazionale di Mikumi
Metadata
This file contains additional information, probably added from the digital camera or scanner used to create or digitize it.
If the file has been modified from its original state, some details may not fully reflect the modified file.
Show extended details |
Toolbox
Thursday, June 7, 2012
MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS
www.mufumbirotsafaris.blogspot.com or mufumbirotsafari@gmail.com
mufumbiro tours and safari company started the process of taking photo from destinations in Kagera.This preparation will combine famous and forgoten attraction for both frola and fauna arround bukoba.The photo taken on this page is one of the section arround Victoria lake
www.mufumbirotsafaris.blogspot.com or mufumbirotsafari@gmail.com
mufumbiro tours and safari company started the process of taking photo from destinations in Kagera.This preparation will combine famous and forgoten attraction for both frola and fauna arround bukoba.The photo taken on this page is one of the section arround Victoria lake
Tuesday, June 5, 2012
Aknoledgement From Mufumbiro Tours and Safaris
MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS
MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS
www.mufumbirotsafaris.blogspot.com or
mufumbirotsafari.gmail.com
Mufumbiro
tour and safaris being in the process of establishing tourism sector in Karagwe
now decided to join with one of the group of artist from Bukoba known as Kagera
development association program (KADEP) .Kadep originated from Budap Bukoba
disabled association program (BUDAP) ,is the group still organizing the museum
of the region in Kagera.Kadep prepared
different ornaments for different people with its value stands in good place.
Tradition drums from different cultures.
The below pictures photos
taken from KADAP.
MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS
The news from mufumbiro tour and safaris,
playing the role of protecting culture the organization of mufumbiro
tour and safaris is preparing to
form the group named “mufumbiro tour dance group” which will
be under Oscar Bakina from Kiruruma Bushangaro in Karagwe as the teacher of the group
MUFUMBIRO TOUR AND
SAFARIS
Mufumbiro tour and safaris is expecting to form quswida group
.This group will deal to youth and
younger from the age of 10 to 18.This is morning in mufumbiro tour because this
is the new project ,purposely the group Advantages will be for disabled group .
Mufumbiro tour and
safaris
Kampuni ya mufumbiro tour and safaris
inapendakuungana na familia za ndugu na jamaa katika kumbukumbu ya kuadhimisha miaka 16 ya kuzama kwa mv
Bukoba.Ni kweli kuwa kila ifikapo tarehe 22 may kila mwaka familia nyingi za Bukoba,Ukerewe,Mwanza,na
watu jirani kutoka mikoa ya njee pamoja na nchi jirani hasa waliopenda kuutumia
usafiri wa mv Bukoba wanaitumia fursa yakuwakumbuka ndugu na jamaa waliopoteza uhai wa maisha yao katika mv
Bukoba.
Kampuni hii inatoa pole kwa ndugu na
jamaa lakini inapenda kuwakumbusha
kiimani wale wote walioguswa na tukio hilo kuwa ndugu zao waombewe pumziko la
amani maana hakuna aliyepanga ajali hiyo kutokea bali ni mapenzi ya mungu,
kiongozi mkuu muandaji wa habari hizi kupitia blog anasema kutokea kwa ajali
kunatufanya tuibue maneno mengi lakini tukumbuke kuwa ajali haina kinga na mara
nyingi tuwaombee ndugu zetu ili mwenyezi mungu awapumzishe kwa amani ndugu waliokufa kifo kibaya cha bila hatia.
MPANGO WA MUFUMBIRO
TOUR AND SAFARIS JUU YA AJALI YA MV BUKOBA
KATIKA JAMII YA KITANZANIA KWA MIAKA HII 16 .
Usafiri wa meli umedumu kwa miongo sita mpaka sasa na umekuwa
ni wa muhimu katika utoaji wa huduma za usafiri wa uhakika kutoka mwanza mpaka
bukoba , pamoja na hayo usafiri huu huwa ni wa uhakika na ni wa
kumwezesha kila raia yeyote kukidhi
gharama zake.
Pamoja na kuwa huu ni
usafiri mzuri lakini pia watu
hawajauelewa tofauti na kupanda wa kafika wanapokwenda salama,wakati mwingine
watu wengine wanakuwa hawajui chombo hiki kinavyofanya kazi kila siku hata hivyo kuna mambo muhimu watu wayotaka
kuyaelewa kabla kuanza ya safari.
(a) Meli ni nini?.
(b)Usafiri wa meli ni wa gharama kiasi
gani?.
(c) Je unaposafiri na meli una kuwa na
usalama kiasi gani?
(d) Pamoja na walakini tulionao juu yam
v bukoba tutaendeleaje kuutumia usafiri wa mv Victoria?.
(e) Tufanye nini ili tuupende usafiri wa meli
ambao umedumu miaka zaidi ya 65 na ajali yake imetokea mara moja ?
(f) Ni nani ataielimisha jamii kuhusu
usafiri wa meli kama sio serikali?.
Katika hili kampuni hii
imepata kuamini kuwa ajali ya meli iliyotokea mwaka 1995 kuna raia wengi hawakuyaelewa
majibu ya maswali haya ,kwa sababu meli ilikuwa na maboti ya uokoaji,maboya
pamoja na vifaa vingine ambovyo vingelitumika kwa dharula,lakini watu waliruka
na kupoteza maisha bure .
Mufumbiro
tour and safaris imepania kuanza kuwatembeza
wanafunzi,raia wa aina yoyote ,wafanya kazi pamojana wageni wasioijua
meli ,malengo kuhakikisha wote tunakuwa na sehemu ya majibu ya maswali haya.Ili
tuweze kuupenda usafiri huu wa gharama za kawaidana utusaidie siku zote .
MUFUMBIRO
TOUR AND SAFARIS
CORPORATE PROFIR
MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS
CONTENTS
COGRATURATION
LEETTER……………………………………………………
ORIGINAL OF
MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS ………………………
VISSION AND
MISSION………………………………………………………………....
LETTER OF CONGURATURATION
DEAR SIR OR MADAM
First and foremost ,on behalf of all Mufubiro tour and safaris team through
the world, I would like to welcome you to visit our natural resourses .Mufubiro
tour team decided to promote tourism in East Africa back to 2012 years ago and
also bring better comprehensive transport to mankind.
Today more people are fulfilling their dreams by visiting Tanzania natural resources .We believe making the right choice will make you succeed in your dreams. When you have a very promising in tourism Tanzania with a coupled succefull system your personal achievement in tourism will be also at its height.
By having excellent cooperation with our tour ,we could expect you would attain various knowledge and awards in our tour .I sincerely hope you would look the relevant documents regarding your responsibilities and rights as mufumbiro tour and safaris visitor.Mufumbiro tour and safaris consistently follows the visitors virtue of honesty is the best policy .At the end of the day I believe the process of cooperation with Mufumbiro tour and safaris together with you r consistent effort s,definity soar high enough mufumbiro tour and safaris ever stage is successifull.Ihope to see you all at your coming.
THE ORIGINAL OF MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS
Mufumbiro tour and safaris originated from the mount of
Rwanda which named MUFUMBIRO many years ago. Over the centuries ancestors were
used the mountains to divine the season of rainfall around.
In 2009 Mr. Jackson Gresmo came from Karagwe to start his tours .My philosophy is to contribute to the society by restoring environment to mankind. Thus our cooperate culture consistently educate the society, staff, visitors, and members in earn dedicating oneself to bringing mankind. , environment confidence, hope success and wealth with the central of serving society by restoring health.
Hence our cooperate slogan: together we can and let as share together.
AND SAFARIS.
Kampuni hii ambayo sasa
inakuja kwa kasi kubwa, inampango
wa kuhakikisha mkoa wetu wa Kagera
unaungana na mikoa mingine nchini kote katika mchakato wa
kukuza secta ya utalii wa
ndani na nje,zoezi hili litaenda
sambamba na utangazaji wa
vivutio vyote vilivyomo
ndani ya vijiji
vyetu, kata zetu, wilaya zetu ,mkoa
wetu, nchi yetu pamoja vivutio vingine vya utalii
ulimwenguni kote.
Ukweli utabakia
kuwa mkoa wetu unao
vivutio vyenye kuwezesha
uwepo wa utalii katika sehemu mbalimbali ndani
ya mazingira tunayoishi.Wilaya ya
karagwe ambayo mwonekano wake
unakuwa ni wakushangaza na wa kuvutia kwa
kuwa na mabonde,miinuko,tambarare,mito ,ziwa,chemichemi ya maji
moto,madini ya bati,sehemu zilizohifadhiwa kwa
ajili wanyama pamoja
na makumbusho ya
kiongozi mashuhuri aliyekuwa
mzungumzaji wa Kiswahili
fasaha kabla ya Kiswahili kuwa
lugha ya taifa.
Wilaya ya karagwe
ina historia ya
kuwa kubwa kwani
mwanzoni iliweza kugawanywa
katika majimbo mawili
ya uchaguzi yani jimbo la
uchaguzi la karagwe na kyerwa.Wilaya hii imegawanyika
na jimbo la kyerwa na
kuitngeneza historia ya
wilaya ya karagwe
kuendelea kutukuka kwa kulitangaza jimbo
la uchaguzi la Kyerwa kuwa
wilaya mpya.Wilaya mpya ya
kyerwa tayari imeanza
kuendesha shughuli zake kama wilaya mpya.
Wilaya hii mpya
iko chini ya uongozi wa mh.Luth.Kanari Benedict Kitenga ambaye
ndiye mkuu wa wilaya hii mpya
kuanzia may 2012.Pamoja na hayo
ni vema tukaonesha nia ya
dhati kwa kuonesha mshikamano na ushirikiano kaika kuhakikisha tunaikuza
kimaendeleo wilaya yetu
mpya .wilaya hii mpya ambayo
wakazi wake ni wanyambo
asilia ifikie hatua
tuamini kuwa maendeleo
yake yatakua kwa kasi
kubwa sana hii
inadhihilishwa na mali asili
zilizoko ndani yake.Amini
usiamini wilaya hii inasehemu
kubwa ya eneo ambalo
liko katika angalizo la
kuwa hifadhi ya taifa
lijulikanalo kama pori la
akiba la mulongo
ikumbukwe kuwa pori hili lina
wanyama aina tofautitofauti isipokuwa
simba na twiga lakini pia
kundi la wanyama wakubwa watano lijulikanolo kama big five
duniani pia lipo
,ukiachana na hayo kipo
kivutio kinachotoa maji moto
au hot water
sping katika sehemu ya Mutagata kwenye kata
ya kamuli, pamoja na
kivutio hiki ni moja
ya vivutio adimu lakini
hakina maboresho yoyote yanayoweza
kukiingiza katika soko la
utalii.Madini ya bati au
tini mikoa iliyoendelea sehemu
ya madini ni
muhimu kwani hutoa
uwekezaji,nafasi ya ajira
na huwa ni
kivutio cha utalii .Madini
ya namna hii
ni neema katika nchi na
sehemu husika.
Kilimo cha mikono wakulima
wa wilaya hii huendesha shughuli za
kilimo kwa kutumia
mikono yao wenyewe
hiki ni kivutio cha utalii cha
kutosha kwani sehemu kubwa ya nchii
yetu huendesha kilimo
kwa trecta na ng’ombe
lakini pia sehemu
zote duniani watu
hawalimi kwa mikono.
Kilimo cha kahawa
hili ni zao
la kibiashara ambalo linalimwa na
nchi chache ulimwenguni
sisi Tanzania ni wazalishaji wadogo duniani pamoja na
hayo kahawa tanza nia
hulimwa katika mikoa
ya Kilimanjaro na Kagera
na wilaya ya karagwe
huzalisha kahawa nyingi
kuliko wilaya za za mkoa
wetu ,wenzetu pia wanapenda kufanya
utalii wa kuona
jinsi kahawa zinavyolimwa
kukua kwake mpaka uvunaji wake .wengine
hupenda kuona rangi
mti wa mkahawa
ambao mara nyingi huonekana
ukiwa wa kijani
mara nyingi.
Ufugaji, mpaka leo
wilaya hii mpya
ina wafugaji wengi
wa ng’ombe wa nyama
sehemu kubwa ya
siina .Hii ni
sehemu kubwa na inategemewa kwa
uzalishaji wa maziwa
,mfumo wa ufugaji
kwa jinsi gani
unaendeshwa kienyeji tunapenda
dunia ijue huu ni
utalii .
Uvuvi,nayo ni ni
moja ya
shughuli zenye uwezo
wa kuyageuza maisha ya
wakazi wa kyerwa. Lakini kwa sababu
wavuvi hawa wanatumia
mitumbwi ya kuchonga
bado hiki ni
kivutio cha utalii kwa
leo mitumbwi inayotumika katika
maziwa ya sehemu
nyingine ni ya
kisasa maboti na
fibire
Rangi ya kijani,
sehemu kubwa ya
mazingira haya inatawaliwa
na mimea ya kijani kama migomba mihogo na matunda ya aina mbalimbali .Kaa
ukijua kuwa chakula
cha wenyeji wa wilaya
hii ni ndizi.
Miinuko ,mabonde
na tambarare chache zinavutia
sana na ni
kwa sababu ufanya mwonekano wa sehemu
hii kuwa ya
kitalii Sambamba na hili utapata kuujua mlima wa
nchi jirani wa
mufumbiro ulioko nchini
Rwanda ambao pia nao
una maajabu yakee.
Hivi ni vivutio
vichache ambavyo vimesahaurika lakini bado tutaendelea kukufafahamisha zaidi
juu ya vivutio vigine zaidi
.Kazi kubwa ya
Mufumbiro tour and
safaris ni kuhakikisha tunaviweka wazi ili wanachi
tuvijue ,tuvitunze,vitupatie ajira na
tuijenge kyerwa yetu kwa pamoja
mufumbiro itakufahamisha jinsi
ya kujiunga katika mtandao wa
utalii wa dunia
nzima pia inalenga kukufahamisha
kujua umuhimu wa utalii .
Utalii ufanya
watu waishi katika
dunia moja ,kuimarisha
ushirikiano baina ya mtu
na mtu lakini pia utufanya
kufikia malengo yetu
baada ya kujua
ufahamu wa mambo yanayotuzunguka.Tunaitumia nafasi
kubwa kujadili uongozi
unavyoshindwa kutekeleza ahadi
zake hapohapo tukumbuke ni
siku gani tumejibidisha tukashindwa
kufanikiwa .Wanafunzi wengi wanasomea utalii nje
ya wilaya yetu wanafikiria
wafanye nini juu ya vivutio
hivi wewe pia upate kutafakari na kujijibu mwenyewe vivutio hivyo hapo tufanye
nini kufanikiwa na
vivutio hivi.Mufumbiro tour and
safaris inaamini itatoa
mwanga wa kutosha ili ushirikiane nayo
kuleta maendeleo katika Tanzania ya leo
na kesho.Kampuni hii inaamini
pia kuwa utalii ni wa kila
mtu awe mwenye pesa na hata
mtu wa aina yoyote
ile.Lakini haya yote kama
unaona kitendawili basi tembelea
matangazo yetu na
mitandao ili upate kujua
nini ufanye kampuni hii ni
nyota wa utalii
.Utapata kujua uchumi wetu
utakuaje kwa sababu utalii leo unaukuza uchumi
wan chi yetu kwa
asilimia kubwa sana au kwa
lugha rahisi uchumi
wa taifa unachangiwa
na asilimia kubwa kutokana
na kipato cha utalii .