Tuesday, June 5, 2012

Aknoledgement From Mufumbiro Tours and Safaris

                                          MUFUMBIRO  TOUR  AND SAFARIS
www.mufumbirotsafaris.blogspot.com or mufumbirotsafari.gmail.com

Mufumbiro tour and safaris being in the process of establishing tourism sector in Karagwe now decided to join with one of the group of artist from Bukoba known as Kagera development association program (KADEP) .Kadep originated from Budap Bukoba disabled association program (BUDAP) ,is the group still organizing the museum of the region in Kagera.Kadep  prepared different ornaments for different people with its value stands in good place. Tradition drums from different cultures.
                      The below pictures photos taken from KADAP.



                                        MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS
 The news from mufumbiro tour and safaris, playing the role of protecting culture the organization of mufumbiro tour and safaris is  preparing to form the group named  “mufumbiro tour dance group” which will be under Oscar Bakina from Kiruruma Bushangaro in Karagwe as the teacher  of the group




                               MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS
Mufumbiro tour and safaris is expecting to form quswida group .This group will deal to youth  and younger from the age of 10 to 18.This is morning in mufumbiro tour because this is the new project ,purposely the group Advantages will be for disabled group .


Mufumbiro tour and safaris
Kampuni ya mufumbiro tour and safaris inapendakuungana na familia za ndugu na jamaa katika kumbukumbu ya  kuadhimisha miaka 16 ya kuzama kwa mv Bukoba.Ni kweli kuwa kila ifikapo tarehe 22 may kila mwaka  familia nyingi za Bukoba,Ukerewe,Mwanza,na watu jirani kutoka mikoa ya njee pamoja na nchi jirani hasa waliopenda kuutumia usafiri wa mv Bukoba wanaitumia fursa yakuwakumbuka  ndugu na jamaa  waliopoteza uhai wa maisha yao katika mv Bukoba.
Kampuni hii inatoa pole kwa ndugu na jamaa  lakini inapenda kuwakumbusha kiimani wale wote walioguswa na tukio hilo kuwa ndugu zao waombewe pumziko la amani maana hakuna aliyepanga ajali hiyo kutokea bali ni mapenzi ya mungu, kiongozi mkuu muandaji wa habari hizi kupitia blog anasema kutokea kwa ajali kunatufanya tuibue maneno mengi lakini tukumbuke kuwa ajali haina kinga na mara nyingi tuwaombee ndugu zetu ili mwenyezi mungu awapumzishe kwa amani ndugu  waliokufa kifo kibaya  cha bila hatia.

MPANGO WA MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS JUU YA AJALI YA MV BUKOBA  KATIKA JAMII YA KITANZANIA KWA MIAKA HII 16 .
Usafiri wa meli  umedumu kwa miongo sita mpaka sasa na umekuwa ni wa muhimu katika utoaji wa huduma za usafiri wa uhakika kutoka mwanza mpaka bukoba , pamoja na hayo usafiri huu huwa ni wa uhakika na  ni wa  kumwezesha kila  raia yeyote kukidhi gharama zake.
Pamoja na kuwa huu ni usafiri  mzuri lakini pia watu hawajauelewa tofauti na kupanda wa kafika wanapokwenda salama,wakati mwingine watu wengine wanakuwa hawajui chombo hiki kinavyofanya kazi kila siku  hata hivyo kuna mambo muhimu watu wayotaka kuyaelewa kabla kuanza ya safari.
(a) Meli ni nini?.
(b)Usafiri wa meli ni wa gharama kiasi gani?.
(c) Je unaposafiri na meli una kuwa na usalama kiasi gani?
(d) Pamoja na walakini tulionao juu yam v bukoba tutaendeleaje kuutumia usafiri wa mv Victoria?.
(e)  Tufanye nini ili tuupende usafiri wa meli ambao umedumu miaka zaidi ya 65 na ajali yake imetokea mara moja ?
(f)  Ni nani ataielimisha jamii kuhusu usafiri wa meli kama sio serikali?.

Katika hili kampuni hii imepata kuamini kuwa ajali ya meli iliyotokea mwaka 1995 kuna raia wengi hawakuyaelewa majibu ya maswali haya ,kwa sababu meli ilikuwa na maboti ya uokoaji,maboya pamoja na vifaa vingine ambovyo vingelitumika kwa dharula,lakini watu waliruka na kupoteza maisha bure .

Mufumbiro tour and safaris imepania kuanza kuwatembeza  wanafunzi,raia wa aina yoyote ,wafanya kazi pamojana wageni wasioijua meli ,malengo kuhakikisha wote tunakuwa na sehemu ya majibu ya maswali haya.Ili tuweze kuupenda usafiri huu wa gharama za kawaidana utusaidie siku zote .

           
           MUFUMBIRO TOUR   AND   SAFARIS
                            CORPORATE PROFIR


             MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS

CONTENTS

COGRATURATION LEETTER……………………………………………………

ORIGINAL OF MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS ………………………

VISSION AND MISSION………………………………………………………………....


LETTER OF CONGURATURATION

DEAR SIR OR MADAM

First and foremost ,on behalf of all Mufubiro tour and safaris team through the world, I would like to welcome you to visit our natural resourses .Mufubiro tour team decided to promote tourism in East Africa back to 2012 years ago and also bring better comprehensive transport to mankind.

Today more people are fulfilling their dreams by visiting Tanzania natural resources .We believe making the right choice will make you succeed in your dreams. When you have a very promising in tourism Tanzania with a coupled succefull system your personal achievement in tourism will be also at its height.

By having excellent cooperation with our tour ,we could expect  you would attain various knowledge and  awards in our tour .I sincerely hope you would  look the relevant documents regarding your responsibilities  and rights as mufumbiro tour and safaris visitor.Mufumbiro tour and safaris consistently follows the visitors virtue of honesty is the best policy .At the end of the day  I believe  the process of cooperation with Mufumbiro tour and safaris together with you r consistent effort s,definity soar  high enough  mufumbiro tour and safaris ever stage is successifull.Ihope to see you all at your coming.

   

   THE ORIGINAL OF MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS


Mufumbiro tour and safaris originated from the mount of Rwanda which named MUFUMBIRO many years ago. Over the centuries ancestors were used the mountains to divine the season of rainfall around.

In 2009 Mr. Jackson Gresmo came from Karagwe to start his tours .My philosophy is to contribute to the society by restoring environment to mankind. Thus our cooperate culture consistently educate the society, staff, visitors, and members in earn dedicating oneself to bringing mankind. , environment confidence, hope success and wealth with the central of serving society by restoring health.

Hence our cooperate slogan: together we can and let as share together.



  slogan: together we can and let as share together.



AND SAFARIS.
www.mufumbirotsafaris.blogspot.com  or    E –mail mufumbirotsafari.gmail.com
Kampuni  hii  ambayo sasa  inakuja kwa kasi  kubwa,  inampango  wa kuhakikisha  mkoa wetu  wa Kagera  unaungana  na  mikoa mingine nchini kote katika mchakato  wa  kukuza secta  ya utalii  wa  ndani   na nje,zoezi hili  litaenda  sambamba na  utangazaji  wa  vivutio  vyote  vilivyomo  ndani  ya  vijiji  vyetu,  kata zetu, wilaya zetu ,mkoa wetu, nchi yetu  pamoja  vivutio vingine vya  utalii  ulimwenguni  kote.
Ukweli utabakia  kuwa  mkoa wetu  unao  vivutio  vyenye  kuwezesha  uwepo  wa utalii katika  sehemu mbalimbali  ndani  ya mazingira  tunayoishi.Wilaya ya karagwe  ambayo mwonekano  wake  unakuwa  ni   wakushangaza na wa kuvutia  kwa  kuwa na mabonde,miinuko,tambarare,mito ,ziwa,chemichemi  ya maji  moto,madini ya bati,sehemu  zilizohifadhiwa  kwa  ajili  wanyama  pamoja  na  makumbusho  ya  kiongozi  mashuhuri  aliyekuwa  mzungumzaji  wa  Kiswahili  fasaha  kabla ya Kiswahili  kuwa  lugha ya  taifa.
Wilaya  ya  karagwe  ina  historia  ya  kuwa  kubwa  kwani  mwanzoni  iliweza  kugawanywa  katika  majimbo  mawili  ya  uchaguzi  yani jimbo la  uchaguzi la karagwe  na  kyerwa.Wilaya hii  imegawanyika  na  jimbo  la kyerwa na  kuitngeneza  historia  ya  wilaya  ya  karagwe  kuendelea  kutukuka  kwa kulitangaza  jimbo   la  uchaguzi la Kyerwa  kuwa  wilaya  mpya.Wilaya mpya  ya  kyerwa  tayari  imeanza  kuendesha shughuli zake kama wilaya  mpya.
Wilaya  hii  mpya  iko chini  ya  uongozi wa  mh.Luth.Kanari Benedict Kitenga  ambaye  ndiye mkuu wa wilaya  hii  mpya  kuanzia may  2012.Pamoja  na hayo  ni  vema tukaonesha  nia ya  dhati  kwa  kuonesha mshikamano na ushirikiano  kaika  kuhakikisha  tunaikuza  kimaendeleo  wilaya  yetu  mpya .wilaya  hii mpya  ambayo  wakazi  wake  ni wanyambo  asilia  ifikie  hatua  tuamini  kuwa  maendeleo  yake  yatakua  kwa kasi  kubwa  sana  hii  inadhihilishwa   na  mali asili  zilizoko  ndani    yake.Amini  usiamini  wilaya  hii inasehemu  kubwa ya  eneo  ambalo  liko  katika  angalizo la  kuwa  hifadhi  ya taifa  lijulikanalo kama  pori  la  akiba  la  mulongo  ikumbukwe  kuwa pori hili  lina  wanyama  aina  tofautitofauti  isipokuwa  simba  na twiga  lakini pia  kundi   la wanyama  wakubwa watano  lijulikanolo kama  big five  duniani  pia  lipo  ,ukiachana na  hayo  kipo  kivutio  kinachotoa maji  moto  au  hot  water  sping katika sehemu ya  Mutagata  kwenye kata  ya  kamuli, pamoja  na  kivutio  hiki  ni moja  ya  vivutio  adimu lakini  hakina  maboresho yoyote  yanayoweza  kukiingiza  katika  soko la  utalii.Madini  ya  bati au  tini mikoa  iliyoendelea   sehemu  ya  madini  ni  muhimu  kwani  hutoa  uwekezaji,nafasi  ya  ajira  na  huwa  ni  kivutio  cha  utalii .Madini  ya  namna  hii  ni  neema  katika  nchi  na  sehemu  husika.
Kilimo  cha mikono  wakulima  wa wilaya  hii huendesha  shughuli za  kilimo  kwa  kutumia  mikono  yao  wenyewe  hiki ni kivutio  cha  utalii cha  kutosha  kwani sehemu  kubwa  ya  nchii  yetu  huendesha  kilimo  kwa  trecta  na ng’ombe  lakini  pia  sehemu  zote  duniani  watu  hawalimi  kwa  mikono.
Kilimo cha kahawa  hili  ni  zao  la  kibiashara  ambalo linalimwa  na  nchi  chache  ulimwenguni  sisi Tanzania ni wazalishaji  wadogo  duniani pamoja  na  hayo  kahawa  tanza nia  hulimwa  katika  mikoa  ya   Kilimanjaro na  Kagera  na  wilaya  ya karagwe  huzalisha  kahawa  nyingi  kuliko wilaya  za  za mkoa  wetu ,wenzetu pia  wanapenda  kufanya  utalii  wa  kuona  jinsi  kahawa  zinavyolimwa  kukua  kwake mpaka uvunaji  wake .wengine  hupenda  kuona  rangi  mti  wa  mkahawa  ambao  mara nyingi  huonekana  ukiwa  wa  kijani  mara nyingi.
Ufugaji,  mpaka  leo  wilaya  hii  mpya  ina  wafugaji  wengi  wa  ng’ombe  wa nyama  sehemu  kubwa  ya  siina  .Hii  ni  sehemu  kubwa   na inategemewa  kwa  uzalishaji  wa  maziwa  ,mfumo  wa  ufugaji  kwa  jinsi  gani  unaendeshwa  kienyeji  tunapenda  dunia  ijue  huu  ni utalii   .
Uvuvi,nayo ni  ni moja  ya  shughuli  zenye  uwezo  wa  kuyageuza maisha  ya  wakazi   wa  kyerwa. Lakini  kwa sababu  wavuvi   hawa  wanatumia  mitumbwi  ya  kuchonga  bado  hiki  ni  kivutio  cha  utalii kwa  leo mitumbwi  inayotumika  katika  maziwa  ya  sehemu  nyingine  ni  ya  kisasa  maboti  na  fibire
Rangi  ya  kijani,  sehemu  kubwa  ya  mazingira  haya inatawaliwa na  mimea ya kijani  kama migomba mihogo na matunda ya  aina mbalimbali  .Kaa  ukijua  kuwa  chakula  cha  wenyeji  wa wilaya  hii  ni ndizi.
Miinuko  ,mabonde na  tambarare chache  zinavutia  sana  na  ni  kwa  sababu  ufanya mwonekano   wa sehemu  hii  kuwa  ya  kitalii Sambamba na  hili  utapata kuujua mlima  wa  nchi  jirani  wa  mufumbiro  ulioko   nchini  Rwanda  ambao  pia nao  una  maajabu  yakee.
Hivi  ni  vivutio  vichache  ambavyo  vimesahaurika lakini  bado tutaendelea  kukufafahamisha  zaidi  juu  ya vivutio vigine zaidi .Kazi  kubwa  ya  Mufumbiro  tour  and  safaris ni  kuhakikisha  tunaviweka wazi  ili wanachi  tuvijue  ,tuvitunze,vitupatie  ajira na  tuijenge kyerwa yetu  kwa  pamoja  mufumbiro itakufahamisha jinsi  ya  kujiunga  katika mtandao  wa  utalii   wa  dunia  nzima  pia inalenga kukufahamisha kujua  umuhimu  wa utalii .
Utalii  ufanya watu  waishi  katika    dunia moja  ,kuimarisha  ushirikiano  baina  ya mtu  na mtu lakini  pia  utufanya  kufikia  malengo   yetu  baada  ya  kujua  ufahamu wa mambo yanayotuzunguka.Tunaitumia  nafasi  kubwa  kujadili  uongozi  unavyoshindwa  kutekeleza  ahadi  zake hapohapo  tukumbuke  ni  siku  gani tumejibidisha   tukashindwa  kufanikiwa  .Wanafunzi wengi  wanasomea utalii  nje  ya  wilaya  yetu  wanafikiria  wafanye  nini  juu  ya  vivutio  hivi wewe  pia  upate kutafakari  na kujijibu mwenyewe  vivutio hivyo hapo  tufanye  nini  kufanikiwa  na  vivutio hivi.Mufumbiro  tour  and  safaris inaamini  itatoa mwanga  wa kutosha ili ushirikiane  nayo  kuleta  maendeleo  katika Tanzania  ya leo  na kesho.Kampuni  hii  inaamini  pia kuwa utalii  ni  wa kila  mtu awe  mwenye pesa na hata mtu  wa aina  yoyote  ile.Lakini  haya yote  kama  unaona  kitendawili  basi tembelea  matangazo  yetu   na  mitandao ili  upate  kujua  nini  ufanye kampuni  hii ni  nyota  wa  utalii  .Utapata  kujua  uchumi wetu  utakuaje  kwa  sababu utalii leo unaukuza  uchumi  wan chi  yetu  kwa  asilimia kubwa  sana au  kwa  lugha  rahisi  uchumi  wa  taifa  unachangiwa  na  asilimia kubwa  kutokana  na kipato  cha  utalii . 
                                             MUFUMBIRO TOUR AND SAFARIS
                           www.mufumbirotsafaris.blogspot.com or mufumbirotsafari@gmail.com

One of the leader from the company convinced the people on how tourism may it make their life to become good through this sector.