NEW
COFFEE TREE HOTEL NI HOTEL YA KISASA, FIKA TU UKAJIONEE IPO BUKOBA
MJINI MBELE YA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU (KAITABA STADIUM)New Coffee Tree Hotel mwonekano kwa mbele.
Kuna sehemu ya kupumzika kama hii kubadilishana mawazo, na kufikia kwa wageni mbalimbali
Nyuma ya Hotel hii ya New Coffee Hoteli kuna eneo kubwa na kivuli cha kutosha muda wote
Sehemu kubwa ya bustani inakodishwa pia kwa matumizi ya send-off, harusi, party na n.k
Nyuma ya Hoteli hii kuna uwanja wa mpira wa Kaitaba
Sehemu ya uwanja huo wa Kaitaba kama unavyouona mpenzi wa bukobasports.com
Sehemu ya Bafu kama unavyojionea
Huduma za vyumba zinapatikana kwa muda wa masaa 24, vyumba vyote pia vina AC na TV zenye kebo.
Huduma ya chai,Chakula cha mchana na cha jioni kwa bei nafuu na pia wanatoa chakula cha jadi na mchanganyiko wa vyakula mbali mbali.
Sehemu ya kulia chakula, chai na pia n.k (Restaurant)
Sehemu ya kupumzika na kujipatia kinywaji
Vinywaji vya kila aina vinapatika kama unavyojione... Counter, vinywaji mbali mbali vyenye kilevi na visivyo na kilevi kwa bei nafuu.
Sehemu ya ukumbi wa nje ambao pia ukodishwa kwa matumizi mbali mbali
New Coffee Tree Hotel utapata muziki safi wa aina tofauti na bendi tofauti tofauti
INA VYUMBA VYA KISASA VYA KULALA, UKUMBI NA USAFIRI NA HUDUMA YA INTERNET KWA WATEJA. WASILIANA NAO PIA KWA Web:newcoffeetreehotel.com/ EMAIL info@newcoffeetreehotel.com, admin@newcoffeetreehotel.com. Contact:MOB +255 757 524283
(028) 2221227
KARIBUNI SANA.
kwa hisani ya www.bukobasports.com